Features Barakians
Mtumiaji anaweza kutunza taarifa za manunuzi, mauzo, stock, madeni, matumizi; kuangalia takwimu za biashara yake; kutoa risiti; kutengeneza ripoti ya biashara; kutuma SMS kwa wadeni wake na kupiga simu kwa wateja pamoja na suppliers.
Pia mtumiaji anaweza kupata taarifa za biashara yake hata baada ya kubadilisha simu.Feature za ziada:— ChillAx (Would you rather?) game.
Game la maswali lenye lengo la kukupa nafasi ya kutafakari chaguzi mbalimbali ambazo ungefanya unapokuwa katika hali fulani.
Inajumuisha maswali halisia na yasiyo halisia yenye kufurahisha.
Pia unaweza kuongeza maswali yako.Malipo:— Ofa ya siku 7 BURE kwa mtumiaji mpya.— Kifurushi cha mwezi (Tsh.
5,000/=).— Kifurushi cha miezi miwili (Tsh.
9,000/=).— Kifurushi cha miezi mitatu (Tsh.
13,500/=).— Njia rahisi zaidi ya malipo kutoka mitandao yote ya simu kupitia Selcom.
Secure & Private
Your data is protected with industry-leading security protocols.
24/7 Support
Our dedicated support team is always ready to help you.
Personalization
Customize the app to match your preferences and workflow.
See the Barakians in Action
Get the App Today
Available for Android 8.0 and above